Tuesday, 10 March 2015

UHAMIAJI YAIKUNG'UTA JKT MBWENI UWANJA WA TAIFA

Mchezaji wa timu ya netiboli ya Uhamiaji Jawa Idd akijiandaa kufunga huku mchezaji wa JKT Mbweni akiwa tayari kumzuia wakati wa mchezo wa maandalizi ya mashindano ya Afrika Mashariki uliofanyika leo hii kwenye Uwanja wa Taifa. Uhamiaji ilishinda 35-22. (Na Mpiga picha Wetu)

No comments:

Post a Comment