Sunday, 8 March 2015

Super D amkabidhi vifaa vya mazoezi bondia Ibrahim Class

Kocha wa ndondi nchini Super D (kulia), jana alimkabidhi vifaa mbalimbali vya ndondi bondia Ibrahim Class Mawe ili vimsaidie kwa ajili ya mazoezi yake na kumuwezesha kufanya vizuri zaidi. Pichani Super D (kulia) akimkabidhi vifaa hivyo. (Na Mpiga Picha Wetu).

Bondia Ibrahim Class `Mawe' akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa UBO Afrika wa uzito wa light alioutwaa mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumtwanga Cosmas Cheka kwa uamuzi wa majaji 2-1. Class pia ndiye bingwa wa WBF Afrika.

No comments:

Post a Comment