Thursday, 12 March 2015

Tyson amuonya Floyd Mayweather, ataka abadilike

Bingwa wazamani wa ndondi za kulipwa duniani wa uzito wa juu Mike Tyson amemuonya Floyd Mayweather kuwa, anatakiwa kubadilika katika mtindo wake wa upiganaji kama anataka kumshinda  Manny Pacquiao katika pambano ghali zaidi na lenye utajiri mkubwa litakalofanyika Mei 2 huo Las Vegas. Pichani Tyson akiwa amebebwa na promota wake Don King.

No comments:

Post a Comment