Sunday, 22 March 2015

Novak Djokovic bingwa Indian Wells


BINGWA namba moja kwa ubora katika mchezo wa tenis Novak Djokovic alikitoka nyuma na kumchapa Roger Federer kwa 6-3 6-7 (5-7) 6-2 na kutwaa ubingwa wa BNP Paribas Open.

Mchezaji huyo wa Serbia alitawala seti ya ufuguzi katia mashindano hayo ya Indian Wells lakini Mswisi huyo aliibuka katika seti ya pili na kushinda taji hilo.

Pichani:  Djokovic akiwa na taji lake alilolitwaa jana Jumapili.

No comments:

Post a Comment