![]() |
Mchezo wa kulenga shabaha nao ulikuwepo katika tamasha la Nyama Choma. |
![]() | |
Mchezo uliokuwa katika banda la Black Energy uliopendwa na wengi. |
![]() |
Nyoma ikichomwa taratibu na kiutalaam zaidi. |
![]() |
Mmoja wa wahudumu akiandaa nyama choma. |
![]() | |
Nyama ikiwa inachomwa katika tamasha la Nyama Choma Leaders Club. Wengi walifurahia uchomaji huo wa nyama. |
![]() | |
Baadhi ya watu wakichagua nyama wakati wa tamasha la Nyama Choma Leaders . |
No comments:
Post a Comment