![]() |
| Gari la Zima Moto likitumia winchi kuzima moto katika nyumba moja mtaa wa Msikiti leo Jumanne jijini Dar es Salaam. |
![]() | |
| Sehemu ya nyumba ya ghorofa mbili ikiteketea kwa moto katika mtaa wa Msikiti jijini Dar es Salaam jana. |
![]() | |
| Ghorofa ya pili ya nyumba moja katika mtaa wa Msikiti jijini Dar es Salaamikiteketea kwa moto leo. Kushoto ni gari la zima moto likizima moto huo. | n |



No comments:
Post a Comment