![]() | |
| Wachezaji wa timu ya taifa ya Judo ya Tanzania Bara wakiwa na kombe lao la ubingwa wa Kanda ya Tano ya Afrika pamoja na kocha wao Khamis Zaidi (kulia nyuma). |
![]() |
| Baadhi yawachezaji wa timu ya taifa ya judo wakionesha Kombe kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo. |
![]() |
| Baadhi ya wachezaji na viongozi wa Chama cha Judo Tanzania katika ukumbi wa Habari Maelezo. |



No comments:
Post a Comment