Sunday, 8 February 2015

BREAKING NEEEEEWS
*14 WAUAWA UWANJANI MISRI


CAIRO, Misri
ANGALAU mashabiki 14 wa soka wameuawa nchini Misri baada ya kutokea mapigano usiku huu wakati walinzi wa usalama wakiwazuia kuingia uwanjani kuangalia mchezo wa soka, imeelezwa.

Daktari akizungumza kwa sharti la kutotajwa jina alisema kuwa, hospitali hiyo iliyopo Mashariki ya jiji la Cairo ilipokea miili ya watu 14 huku nane wakiwa wamejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment