Monday 8 January 2018

Waziri Nchemba Akabidhi Vitita kwa Washindi Biko

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, wa pili kutoka kushoto, akiwa na washindi watatu walioshinda sh milioni 20 kila mmoja ambao ni  Andrew Gesurura, Ally Kawemba na Sulpis Joseph wote wa jijini Dar es Salaam baada ya kupokea fedha zao jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa Matukio wa Biko, Hassan Ahmed. (Na Mpigapicha Wetu).

No comments:

Post a Comment