Thursday 15 February 2018

DStv wafungua tawi jipya, watoa ofa kabambe


Na Mwandishi Wetu
MULTCHOICE Tanzania leo Ijumaa itazindua tawi lake jipya katika eneo la bishara la Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo, inasema kuwa hatua hiyo ya kufungua tawi eneo hilo maarufu ni kwa ajili ya kuwasogezea huduma ya DStv wateja wao wa maeneo  mbalimbali wanaofika maeneo hayo kupata huduma zingine.

Katika kusheherekea Msimu huu wa Valentine, DStv hawajakusahau, wanakuletea huduma zao karibu zaidi na kukupa zawadi Kabambe ya Valentine.

Taarifa hiyo imezidi kueleza kuwa, tawi hilo limesheheni huduma zote na wafanyakazi wacheshi na wakarimu wako tayari kabisa kukuhudumia.

Ili kuzidi kuleta msisimko kwenye valentine hii, DStv wanakuletea Ofa maalum kwa wateja wa tawi lao la Mlimani City pekee, fika tawini kuanzia tarehe 13 hadi 18 February upate kununua Dikoda, Dishi na Vifaa vyote  kwa sh.69,000 tu pamoja na miezi miwili buree!!

Ofa hii haishii hapo ndugu yangu, DStv watakupatia Na ufundi buree. Yaani hii ni The Punguzo Valentine Special!

Wahi sasa kwenye ofisi zao mpya zilizopo Mlimani City opposite na zamani Nakumat Supermarket.

No comments:

Post a Comment