Thursday, 1 June 2017

Bonanza la Michezo Shule za Filbert Bayi 2017 lafana

Na Mwandishi Wetu, Kibaha
BONANZA la michezo la Shule za Filbert Bayi kwa shule za msingi za Kimara na Kibaha lilifanyika kwa siku mbili Mkuza, Kibaha mkoani Pwani.

Kwa mujibu wa waandaaji, ambao ni Taasisi ya Filbert Bayi, FBF, bonanza hilo limekuwa likifanyika kila mwaka wiki ambao shule zinafungwa.
Matokeo ya michezo mbalimbali iliyochezwa siku ya ufungaji wa bonanza hilo:-

MASHINDANO ya Meta 100-dash wasichana P/R

1. Vesna Chilambo (sekunde 016.00)

2.Theresia Elius )sekunde 016.12)

3.Brenda Edward (sekunde 017:20).

Kukimbia na Magunia: Meta 80 wasichana

1. Anna Maria (sekunde 026:16)

2.Yafei Alex (027:66)

3.Mkejina Mrisho (027:81)
WAVULANA

1.Eric Heliman (sekunde 021:85)

2.Michael Mayemba (sekunde 024:43)

3.Andrew Benjamin (sekunde 025:75)
Meta 50-dash Boys

1,Kelvin Emmanuel (008:44)

2.Salum Hamsini (008:65)

3.Boazi john (009:16)
Meta 50 Girls

1. Zam Zam Jongo (007:75)

2. Faidha Hemed (009:31)

3. Gracious Mikanzi (009:37)

Meta 400 Boys

1. Twalib Abdallah (dakika 1:09.53)

2. Milton Magongo (dakika 1:22.31)

3. Fransisco Menansi (Dakika 1:23:90)

SRINT HADDLES BOYS META 80

1. Twalib Abdallah (sekunde 0.12.66)

2. Crispin Mwandapo (sekunde 0.14.34)

3. Fransisco Menansi (sekunde 0.14.40)

No comments:

Post a Comment