Saturday, 3 June 2017

Mwili wa Mzee Francis Maige Kanyasu Ngosha wasafirishwa kwenda Mwanza leo kwa mazishi
Mkurugenzi wa Baraza la Sanaa na Taifa (Basata), Godfrey Mungereza (kushoto) na Eric Shigongo wakibeba jeneza la marehemu Mzee Francis Maige Kanyasu Ngosha kabla ya kusafirishwa kwenda Mwanza leo Jumamosi.

No comments:

Post a Comment