Sunday, 23 August 2015

YANGA YAENDELEA KUINYANYASA AZAM FC NGAO YA JAMII YAIFUNGA KWA PENALTI 8-7

Nahodha wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro akinyanyua Ngao ya Jamii mara baada ya kukabidhiwa na Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipoli ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Kulia kwa Kova ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Yanga ilitwaa ngao hiyo baada ya kuifunga Azam FC kwa penalti 8-7 baada ya timu hizo kutoka sare ya 0-0 katika dakika 90 za kawida kwenye Uwanja wa Taifa jijiji Dar es Salaam.(Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment