Tuesday, 25 August 2015

Pedro azungumza na waandishi wa habari na kuaga rasmi Barcelona

Mshambuliaji wazamani wa Barcelona Pedro Rodriguez wakati wa mkutani na waandishi wa habari akiaga kufuatia kujiunga na Chelsea ya England, ambayo Jumapili aliichezea timu hiyo na kuifungia wakati ikishinda 3-2. Pedro alikuwa mjini Barcelona kuaga rasmi.

No comments:

Post a Comment