Wednesday 8 August 2018

MKAPA ATUA SIMIYU AFUNGA MAONESHO NANE NANE

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kulia) akipokea Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa katika eneo la Lamadi Wqilayani Busega Mkoani Simiyu jana ambapo Rais huyo Mstaafuanataraji kuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya Kilimo Biashara na Shetrehe za Nane Nane Kanda ya Ziwa Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nyakabindi.

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa (katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mwongela baada ya kupokea kiongozi huyo ambaye anataraji kuwa mgeni anataraji kuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya Kilimo Biashara na Shetrehe za Nane Nane Kanda ya Ziwa Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nyakabindi.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kulia) akimkaribisha Mkoani humo Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa  ambapo Rais huyo Mstaafu anataraji kuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho ya Kilimo Biashara na Shetrehe za Nane Nane Kanda ya Ziwa Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya maonesho Nyakabindi. (Picha na Mroki Mroki) 
Msanii maarufu na kiongozi wa kundi la Mjomba Band, Mrisho Mpoto akitoa burudani katika Banda la NSSF lililopo katika viwanja vya Maonesho ya Nane Nane Nyakabindi Wilayani Bariadi, Simiyu jana.

No comments:

Post a Comment