Monday, 1 May 2017

SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYOFANA DAR ES SALAAM


Siku ya Wafanyakazi Duniani imeadhimishwa leo duniami kote huku mkoa wa Dar es Salaam sherehe hiyo ilifanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, ambako mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Urambo Mashariki, Margaret Sitta.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), ambao wako chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakiwa katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege cha Julius Nyerere (JNIA).

 
No comments:

Post a Comment