Wednesday, 13 April 2016

Buriani Ndanda Kosovo utakumbukwa kwa vibao vyako matata kikiwemo kile cha Prison, ambacho kilijulikana sana kama Walelajela Original

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Ndandason au Ndanda Kosovo aliyefariki wiki iliyopita na kuzikwa leo Jumatano katika makaburi ya Kinondoni. Ndanda alifariki dunia katika hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua vidonda vya tumbo.

No comments:

Post a Comment