Wednesday 13 April 2016

Timu ya netiboli ya Uchukuzi SC ikijifua tayari kwa mashindano ya Mei Mosi mjini Dodoma yatakayoanza Jumamosi Aprili 16


Maimuna Ayelo (kulia) akirusha mpira huku Mayasa Hamidu akiuzuia.

  1. Wachezaji wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports Club, Grace Mwasote (kushoto mwenye mpira) akizuiwa na Johari William wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Bandari, Kurasini mwishoni mwa wiki. Timu hiyo inajiandaa kwa mashindano ya Mei Mosi yatakayofanyika mjini Dodoma,

Grace Mwasote akiwa na mpira akiangalia jinsi ya kuwatoka wachezaji wenzake wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports Club. Wengine pichani ni Johari William (kushoto) na Maimuna Ayelo
Tatu Kitula mmoja wa wafungaji tegemeo akijiandaa kurusha mpira

  1. Matalena Mhagama mfungaji mkongwe pia wa timu  ya Taifa ya netiboli (kushoto), akizuiwa na Sharifa Mustafa (kulia) huku Mary Kajigili (kushoto nyuma),akiangalia.


Imetolewa na kitengo cha Sheria na Mahusiano - TAA

No comments:

Post a Comment