Thursday, 3 December 2015

Breeking Neeewz: Mwandishi Gwiji wa habari za michezo Willie Chiwango afariki dunia

Mwandishi gwiji wa habari za michezo nchini, Willie Chiwango akizungumza katika moja ya mikutana ya wahariri wa michezo nchini. Kulia ni Mwina Kaduguda na kushoto ni Salim Salim.


Mwandishi gwiji wa habari za michezo nchini Willie Chiwango amefariki dunia usiku wa kuamkia leo!

Taarifa zaidi tutaendelea kukuletea kuhusu msiba huo.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa na Jina Lake Litukuzwe. Amina.
Chiwango wakati wa uhai wake (kushoto) akiwa na mpiga picha mashuhuri Issa Michuzi.

Willie Chiwango (kulia) akisalimiana na mwanariadha wa zamani wa Zanzibar Mosi Ally kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 
 

No comments:

Post a Comment