Wednesday, 10 June 2015

Waziri Mkuu Pinda afungua rasmi mashindano ya Shule za Sekondari Tanzania

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akijiandaa kupiga mpira ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment