Wednesday, 10 June 2015

TSN Foundation wachangia Mfuko wa Damu Salama

Mmoja wa wafanyakazi wa TSN akikamiisha taratibu kabla ya kuchangia damu, zoezi hilo lililoandaliwa na Tsn Foundation kwa kushirikiana na Damu Salama.
Dokta Daud Mkawa (kulia) akimuandaa mfanyakazi wa TSN kabla hajatoa damu katika zoezi lililofanyika katika ofisi za kampuni hiyo Mikocheni hivi karibuni.

Mfanyakazi wa TSN akichangia damu wakati wa zoezi hilo
Damu ikiendelea kutolewa

Mfanyakazi wa TSN akipimwa kabla ya kuanza kutolewa damu kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Damu Salama.

Mkuu wa Taasisi ya TSN Foundation, Efetha akizungumza na waandishi wa habari kuhusu zoezi la kuchangia damu salama lililofanywa na taasisi hiyo kwa wafanyakazi wa TSN.
Ofisa Mahusiano Jamii wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Mariam Juma akielezea umuhimu wa kuchangia damu, zoezi, ambalo lilifanywa hivi karibuni na TSN.

No comments:

Post a Comment