Tuesday, 9 August 2016

Nyota Usain Bolt acheza samba akijiandaa kushindana katika Michezo ya 31 ya Olimpiki Brazil

Mwanariadha nyota Usain Bolt akicheza ngoma ya asili ya Brazil, Samba, ambayo ni maarufu sana nchini humo. Bolt yuko Brazil kwa ajili ya kushiriki Michezo ya 31 ya Olimpiki inayofanyika Rio de Janeiro.

No comments:

Post a Comment