Wednesday, 2 March 2016

Swansea City yaizima Arsenal Emirates, Babu Wenger azomewa na mashabiki

Kiungo wa Arsenal, Theo Walcott (kushoto) akikabiliana na mwenzake wa Swansea City, Wayne Routledge wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England kwenye Uwanja wa Emirates jijini London. Arsenal walifungwa mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment