Saturday, 9 July 2016

Waziri Nape alipozindua mbio za mashindano ya magari za Afrika jana jijini Dar es Salaam na mbio hizo zinafikia kilele leo Bagamoyo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) na Rais wa Chama cha Mbio za Magari Tanzania, Nizar Jivan wakipita karibu na magari ya mbio za magari yaliyoshiriki mashindano ya Afrika, ambayo yanafikia tamati kesho Jumapili.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa katika moja ya magari ya mashindano.


Waziri Nape akiwa na dereva wa gari namba moja, Dharan Pandya (kulia) na kushoto ni rais wa AAT, Nizar Jivan.

Waziri Nape akianzisha mbio za magari za mashindano ya Afrika jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwani Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Mohamed Kiganja.

Waziri Nape akitoka katika moja ya magari ya mashindano.

No comments:

Post a Comment