Ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), leo ikitua kwenye kiwanja
cha ndege cha Dodoma ikitokea mkoani Kigoma.
|
Mizigo ya abiria wa ndege ya shirika la ndege Tanzania (ATCL), ikiwa ndani ya gari la kampuni inayotoa huduma ya mizigo ya National Aviation Services (NAS), kwenye Kiwanja cha ndege cha Dodoma. |
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Jordan Rugimbana (kulia) akiagana na Meneja
wa Kiwanja cha Ndege cha Dodoma, Bw. Julius Mlungwana kabla ya kupanda ndege
ATCL, akielekea Jijini Dar es Salaam, leo.
|
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Uwela ya kitongoji cha Kikuyu mkoani Dodoma wakiwa katika ziara ya mafunzo kwenye Kiwanja cha ndege cha Dodoma, leo. |
Kiwanja cha ndege cha Dodoma, sasa kinauwezo wa kupokea ndege zenye uwezo wa kubeba abiria 90, baada ya kurefushwa kwa barabara ya kutua na kuruka kwa ndege kwa kilometa 2.5 |
No comments:
Post a Comment