Naibu Spika wa
Bunge Dk. Tulia Ackson (katikati), Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Dk Harison Mwakyembe (Kulia) na Mkurugenzi wa MultiChoice Africa Kanda
ya Afrika Mashariki na Magharibi.,Maharage Chande wakishuhudiauzinduzirasmi wa
programu ya‘MultiChoice Talent Factory’
inayotoafursakwavijanawenyekipajikatikatasniayafilamukujiunganakituomaalum cha
mafunzoyafanihiyokwamuda wa mwakamzimakwaudhamini wa MultiChoiceAfrika.
Uzinduzihuoulifanyikajijini Dodoma
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MultiChoiceAfrica,Imezindua rasmiprogram kubwayakijamiiinayolengakuletamapinduzimakubwakatikatasniayafilamuhapa
Tanzania nabaraniAfrikakwaujumla.
Program
hiyoijulikanayokamaMultiChoice Talent Factory (MTF) –inalengakuchocheaubunifu
wa vijana wa Afrikakatikatasniayafilamunaimeandaavyuomaalumvitatuambavyovitatoamafunzomaalumyautengenezaji
wa filamukwavijanakutokanchimbalimbalikotebaraniAfrika.
“Maendeleoyanchiyetukwamudamrefuyamekuwayakitambuliwakwauwekezajikatikamaliasilinyingitulizonazokama
vile madini, kilimo, mifugo, wanyamapori, nakadhalikahukusektayaubunifuikiwahaijapewakipaumbelekikubwanahivyosektayasanaanaubunifukuwanamchangomdogokatikaukuaji
wa uchumiwetu.
Ili kuhakikishakuwatunasaidiananaserikalikatikamkakati wake wa
kuifanyasektayaubunifunasanaakuwamojayamihimiliyauchumiwetu, MultiChoiceimeanzisha
program hiinatumeanzanasektayafilamu” alisema Maharage Chande, Mkurugenzi wa
MultiChoicekandayaAfrikaMasharikinaMagharibi.
Tumebarikiwakwavipajivingikatikafanimbalimbalinabilashakatukiwekezakatikavipajivyavijanawetubilashakatutafanikiwakupanuawigo
wa ajiranauchumiwetunahivyokuchangiakwakiasikikubwaukuaji wa uchumi wa nchiyetu
Mkurugenzi wa
MultiChoice Africa Kanda yaAfrikaMasharikinaMagharibi Maharage Chande
akizungumzawakati wa uzinduzirasmi wa programuya ‘MultiChoice Talent Factory’
inayotoafursakwavijanawenyekipajikatikatasniayafilamukujiunganakituomaalum cha
mafunzoyafanihiyokwamuda wa mwakamzimakwaudhamini wa MultiChoiceAfrika.
Uzinduzihuoulifanyikajijini Dodoma
AmesemaProgrammu hiyo itakayoanza rasmi mwezi Oktobamwakahuuitawawezeshavijana
wanne
kutoka
Tanzania
kuungananavijanawenginekutokanchimbalimbalizaAfrikakatikavyuomaalumvyamafunzoyautengenezaji
wa filamambavyovitakuwanchini Nigeria, Kenya na Zambia.
Kwaupande wake,
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa naMichezo Dr. HarisonMwakyembeamesema program
hiyoitakuwachachukubwakatikakuletamapinduzikwenyetasniayafilamuhapanchinikwanivijanawatakaopatikanambalinakwambawatakuwanauwezo
wa haliyajuu wa kutengenezafilamu, palipiawatakuwakamawaalimu wa
wezaoambaowanavipajikatikatasniahiyo.
“NimefurahisanakusikiakuwaMultiChoicewanapangakuendeleanampangohuukwamudamrefukwahiyojapokuwatunaazakwakupelekawanafunziwanne,
badotunaaminihuunimwanzomzurisana. Cha msingi kwanza siyoididiyawanafunzi,
baliniumuhimu wa chuohichonakiwango cha mafuzokitakachotolewa.
Tunaaminikwamwakahuu wa kwanza
vijanahaowakikamilishamafuzoyaonawakirudinyumbaniwatakuwachachukubwakatikakukuzanakuimarishatasniayafilamuhapanchini”
PiaametoaraikwaMultiChoicekushirikianakwakaribunawizarayaElimunaMafunzoyaUfundinapiavyouvyetuambavyovinatoaelimuyasanaayafilamuilikuhakikishakuwawanabadilishanaujuzinauzoefunapiaikiwezekanakuwanamiradiyapamojayamudamrefunamfupinahivyokuwafikiavijanawengizaidinakuwezakutimizalengokuu
la kuifanyafaniyafilamukuwamojayanguzozauchumi wa nchihii.
Program
hiyoinaanzarasmikwakupokeamaombiyawashirikiambayoyatapokewakwanjiayamtandao
Kwaufupi;
Mkurugenzi wa
MultiChoice Africa Kanda yaAfrikaMasharikinaMagharibi Maharage Chande akimkaribisha
Naibu Spika wa Bunge la JamhuriyaMuungano wa Tanzania Dk. Tulia
Acksonkatikahaflayauzinduzirasmi wa programuya ‘MultiChoice Talent Factory’
inayotoafursakwavijanawenyekipajikatikatasniayafilamukujiunganakituomaalum cha
mafunzoyafanihiyokwamuda wa mwakamzimakwaudhamini wa MultiChoiceAfrika.
Uzinduzihuoulifanyikajijini Dodoma jana.
Programu hii inamruhusu mtanzania anayekidhi vigezo kuingia kwenye
mashindano ya kupata washindi wanne ambao watadhaminiwa kwa mwaka mmoja kwa
mafunzo yote yahusuyo utengenezaji filamu.
·
Vilevile kutakuwa na namba maalum ambayo inapatikana kuanzia tarehe 1 June
2018.
·
Wanaotaka kushiriki wanaweza kuanza kuwasilisha maombi yao kuanzia sasa na
mwisho ni tarehe 4 July 2018.
·
Hakuna gharama za kushiriki kwenye mashindano
·
Mafuzo rasmi kuanza mwezi wa Oktoba 2018, jijini Nairobi, Kenya
·
Washindi watako chaguliwa watakuwa wanne (4).
·
Gharama zote zitalipiwa na Multichoice kwa kipindi cha mwaka mmoja
Jiungenaulingo wa MTF Mitandaonikwa #multichoicetalentfactorykishafuata au jiungekwa:
·
Instagram: @multichoicetalentfactory;
·
Twitter: @MCTalentFactory
·
Facebook: @multichoiceafricatalentfactory
KwaMaelezozaidiwasilianana;
Johnson Mshana
MkuuwaMawasiliano
No comments:
Post a Comment