Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya
Uchukuzi), Dk. Leonard Chamuriho aliyekuwa Mgeni rasmi akiwahutubia wafanyakazi
wa taasisi zilizopo chini ya sekta hiyo, kabla ya kuanza kwa zoezi la kufanya
usafi wa mazingira kwenye Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) na Soko la
Mabibo, ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani iliyoadhimishwa jana.
|
No comments:
Post a Comment