Soka lilipamba moto |
Soka ilikuwa kivutio pia katika tamasha hilo la michezo ambalo hufanyika kila baada ya mwaka mmoja. |
Wanafunzi wa shule za msingi za Filbert Bayi nao walichuana hata katika soka pia. |
Wazazi wenye watoto katika shule za Filbert Bayi wakitoana jasho katika kuvuta kamba. |
Mchezo wa kuvuta kamba, haikuwa rahisi kushinda |
Mkurugenzi wa shule za Filbert Bayi, Anna Bayi (kulia), akiteta jambo na msaidizi wake Eliberth wakati wa bonanza la michezo la shule hizo lililofanyika Mkuza, Kibaha. |
Kumekucha mchezo wa kukimbiza kuku; kila mmoja akifikiria kitoweo endapo atamkamata jogoo hilo. |
Mchezo wa kukimbiza kuku |
Mchezo wa kukimbiza kuku uliwatoa jasho washiriki. |
Mchezo wa kukimbiza kuku nao ulikuwepo katika tamasha hilo la michezo la shule zaFilbert Bayi. |
Timu ya shule ya sekondari ya Filbert Bayi katika picha ya pamoja kabla hawajacheza na wenzao wa East Coast. |
Timu ya soka ya shule ya sekondari ya East Coast katika picha ya pamoja. |
Mgeni rasmi akikagua timu ya shule ya sekondari ya East Coast ya Pwani kabla haijacheza na Filbert Bayi Mkuza Kibaha. |
Mgeni rasmi akiteta jambo na wachezaji wa timu ya shule ya sekondari ya East Coast na wale wa Filbert Bayi kabla ya kuanza kwa pambano la soka. Filbert Bayi walishinda 2-0. |
Hata mchezo wa mbio za pikipiki ulikuwepo, mmoja wa waratibu Peter Mwita akiwaelekeza jambo baadhi ya washiriki hao. |
Baadhi ya wakuu wa shule za Filbert Bayi wakati wa bonanza la michezo wakiteta jambo. |
Uwanja mpya wa ndani wa shule za Filbert Bayi umekamilika na tayari umeanza kutumika wakati ukisubiri kufunguliwa rasmi wakati wowote. |
No comments:
Post a Comment