Menejimenti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Tanzania (TAA), leo kwenye ukumbiwa mikutano wa Watu Mashuhuri wa Kiwanja cha
Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), wamepata mafunzo ya usimamizi wa
fursa na vihatarishi kwa wadau wa nje na ndani ya taasisi yaliyokwenda sambamba
na kuwapa ufahamu juu ya Viwango vya Kimataifa vya ISO 9001:2015; 14001:2015 NA
45001:2018 vinavyotolewa na Shirika la Viwango la Kimataifa (ISO), mbele ni
Mkufunzi wa Mafunzo hayo, Ali Helal kutoka Kampuni ya Ascent Emirates ya Dubai.
Mafunzo hayo yaliyohusisha Menejimenti ya TAA, na yataendelea tarehe 19 na 20
Septemba, 2019 kwa kuhusisha Mameneja na Mabingwa wa kusimamia mfumo
(Champions).
|
No comments:
Post a Comment